Maulana Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swadiq (A.S), Kigogo Post,
Jijini Dar es Salaam, akitoa hotuba ya EId, Majid Ghadiir Khum, Kigogo
Post
Jijini Dar es Salaam.
Waumini wanawake wakiwa Masjid Ghadiir Khum, Kigogo Post, Jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya swala ya Eid Ftir na Baraza la Eid litakalofanyika baada ya swala ya Eid Al-Ftir.
Maulana Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swadiq (A.S), Kigogo Post,
Jijini Dar es Salaam, amewataka Waumini wa dini ya Kiislamu kuachana na
matendo maovu na kutenda matendo mema. Uongozi wa Hawzat Al-Imam Swadiq (A.S), unawatakia mkono wa Eid Al-Ftir
Waislamu wote duniani.