Maulana Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swadiq (A.S), aliyenyoosha
kidole ni Shk Ghawth Salmu Nyambwa, Muhadhiri wa Chuo kikuu cha
Jamiatul Mustaph, kilichopo Upanga, Jijini Dar es Salaam, wakiwa
Kisarawe kwa ajili ya kutazama mwandamo wa Mwezi.