MUDIR WA HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), ILIYOPO KIGOGO POST JIJINI DAR ES SALAAM.
Maulana
Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (A.s), iliyopo kigogo
post Jijini Dar es Salaam, akiwa nyumbani kwake na Familia yake baada ya
kumaliza shughuli zake za Hawza.