MASHEIKH WA TABLIGH WA MKOA WA DAR ES SALAAM, WAKIWA MKOANI TANGA KWA AJILI YA KUAZIMISHA SIKU YA CHUO CHA TAMTA, KILICHOPO MKOANI TANGA.

Maulana Hemed Jalala Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (A.s), iliyopo kigogo post Jijini Dar es Salaam, pamoja na Sheikh Muhammad Abdu, wakiwa katika kumbukumbu ya Siku ya Tamta Mkoani Tanga.