SHK HEMED JALALA, AFANYA MUHADHARA MKUBWA WA UJUE USHIA, IRINGA MJINI KATIKA KIWANJA CHA MWEMBETOGWA SIKU YA J.MOSI NA J.PILI.


Amewataka Waislaamu wa Iringa wasome Vitabu vya Ahlu-Bayt (a.s), bila ya chuki hili waweze kiitambua dini yao kwa ufasaha zaidi.