SHEIKH: MOHAMMED ABDU NA SHK: HEMED JALALA MUDIR WA HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), ILIYOPO KIGOGO POST , JIJINI DAR ES SALAAM.

Wametembelea Chuo Kikuu cha Matumaini Mkoani Iringa, kwa ajili ya kuonana na Wanafunzi wa Kiislaamu waliopo chuoni hapo siku ya J.pili.