WANAHARAKATI WA HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), ILIYOPO KIGOGO POST, JIJINI DAR ES SALAAM, WAKIWA KATIKA TABLIGH IRINGA.


Wametembelea sehemu ya makumbusho ya Chief Mkwawa, yaliyopo Iringa kwa ajili ya kupata  Historia ya Chief huyo.