KUTEMBELEANA BAINA YETU KUNALETA MAPENZI NA UMOJA.

Maulana Hemed Jalala Mudir wa Hawzat Al Imam Swaadiq (a.s), Kigogo post Jijini Dar es Salaam,ametembelea Msikiti wa Magomeni Kichangani, Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukutana na Wanaharakati wa Msikiti huo.