SHEIKH HEMED JALALA MUDIR WA HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), ILIYOPO KIGOGO POST , JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA.


Mwenyezi Mungu anasema: " Enyi mlioamini! kuweni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Issa bin Mariam kuwaambia wafuasi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? wafuasi: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, basi taifa moja la wana wa Israeli walioamini, na taifa jingine wakakufuru, ndipo tukawasaidia wale walioamini juu ya maadui zao na wakawa wenye kushinda." Qur'an 61:14