WAISLAM NCHINI NIGERIA WAFANYA MAANDAMANO KUITAKA SERIKALI YA NIGERIA ISITISHE NJAMA ZAKE DHIDI YA SHEIKH IBRAHIM ZAKYZAKY.
Maandamano yaliyofanyika nchini Nigeria yakupinga njama za kutaka
kumuuwa Sheikh Ibrahim Zakyzaky ambaye ndio msimamizi wa harakati ya
Kiislam inayoendeshwa kwa misingi ya Madhehebu ya Ahlul Bayt (a.s) hapo
Nigeria.