“Wanataka kuzima nuru ya Mwenyezi Mungu kwa midomo yao, lakini Mwenyezi Mungu atatimiza nuru yake.” (Suratu Saff ,aya ya 8)
“Iwapo mtu atanivunjia heshima, akanipiga kofi usoni au akanipigia mwanangu kofi, naapa kwa jina la Mungu kwamba sitokuwa radhi kumuona mtu akisimama kunitetea dhidi ya mtu huyo. Sitokuwa radhi. Ninaelewa kwamba kuna baadhi ya watu wanaotaka kuzusha hitilafu katika jamii hii ima kwa makusudi au kwa kutojua. Mimi kutokea hapa nilipoketi ninaibusu mikono ya Marjaa wote huko Najaf, Mash-had, Tehran na kwengineko waliko. Ninaibusu mikono ya Maulamaa wa Kiislamu. Lengo letu ni kubwa zaidi kuliko mambo kama hayo. Ninanyoosha mkono wa udugu kwa mataifa yote ya Kiislamu na Waislamu wote duniani, Mashariki na Magharibi.” Imam Khomein (r.a)