SHEIKH RIDHWANI PINGIRI AFUNGISHA NDOA.

Sheikh Ridhwani Pingiri akifungisha ndoa majira ya Saa Nane mchana Masjid Swalihina Kinondoni Block 41, jijini Dar es Salaam, baada ya ndoa watu wote walielekea nyumbani kwa maharusi kwa Sheikh Waziri Nyello aliyekuwa Mwenyekiti wa taasisi ya Tanzania Ithna Ashariyyah Community (T.IC) yenye makao yake Makuu Kigogo Post, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kupata Sadaka ya maharusi.