Mashindano
ya usomaji wa Qur'an Tukufu kwa ajili ya kuwapata wawakilishi wawili Tajweed na
Hifdh kwenda kushiriki mashindano ya kimataifa nchin Iran mwezi ujao
yamefanyika leo ktk ukumbi wa Istiqaamah Ilala ambapo al-khiy Mohd Ramadhani
Binde ameshinda ktk Tajweed na al-khiy Abdulhamid ameshinda ktk
Hifdh,mashindano hayo yameandaliwa na kituo cha utamaduni cha ubalozi wa Iran
nchini kwa kushirikiana na kamati ya maandalizi ya wiki ya Qur'an na mgeni
Rasmi alikuwa mh Zungu mbunge wa Ilala,tunawatakia mafanikio zaidi kwa
wawakilishi wetu hao. Na Muhammed Bandary