Msimamizi wa harakati za tabligh ya kueneza Madhehebu ya Ahlul-Bayt
(a.s) katika Mkoa wa Kigoma ndugu Haj Mohsin Abdallah Lalji (Sheni)
alitembelea Mkoa wa Arusha nakutoa zawadi za Laptop katika Chuo cha
Khatamul-Anbiyaa kwa walimu na wanafunzi kwa ajili ya kufundishia
jitihada zote hizi ni kuhakikisha tunapata vijana ambao watakuja kuwa
viongozi bora na mfano bora katika jamii zetu za baadae.