Kauli isemayo Mwislamu ndugu yake Muislamu
hiko wapi aliyakuwa Waislamu wenzetu wanauliwa kikatili na sisi tunakaa
kimya nani wakukemea udhalimu huu kama sio sisi?, tusimame kidete
kupinga ukatili huu wanaofanyiwa Waislamu wenzetu hasa Wanawake, Watoto wadogo na Wazee, ewe Muislamu amka tupinge ukatili huu.
"Hatumdhulumu yeyote na hatutakubali kudhulumiwa na wengine" Imam Khomeini, kauli hii ndio iliyovunja unyonge katika aridhi ya Iran wakati wa utawala wakidhalimu wa kifalme wa Shah na kusimamisha utawala wa Kiislamu.
Ripoti maalumu iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imetoa habari ya kuongezeka mauaji dhidi ya jamii ya Waislamu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Hayo yamesemwa na mshauri wa shirika la kimataifa la Amnesty International Bi Joanne Mariner aliyeongeza kuwa, mauaji ya umati yanaendelea kufanywa na waasi wa Kikristo wa Anti-Balaka dhidi ya Waislamu wa nchi hiyo. Aidha kwa mujibu wa ripoti hiyo, mauaji makubwa yamefanywa dhidi ya Waislamu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo. Hii ni katika hali ambayo jana Antonio Guterres, Kamishna Mkuu wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa alisema kuwa ameshuhudia maafa ya kibinadamu yasiyoelezeka wakati alipotembelea Jamhuri ya Afrika ya Kati hivi karibuni. Guterres ameongeza kuwa maangamizi makubwa ya kikabila na kidini yanaendelea kufanyika huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na kwamba ukatili wa kutisha na vitendo visivyo na kibinadamu vimegubika mauaji wanayofanyiwa Waislamu nchini humo.Hii ni katika hali ambayo Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limekosoa kimya cha jamii ya kimataifa kuhusu mauaji yanayojiri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Limetangaza kuwa, lina ushahidi unaoonyesha kufanyika mauaji ya mamia ya Waislamu yaliyofanywa na Wakristo wa Jamhuri ya Afrika ya Kati tangu kulipofanyika mapinduzi ya kijeshi ya mwaka 2013. Chanzo cha habari http://kiswahili.irib.ir/habari/habari/item/38184-wakristo-waendelea-kuwaua-kikatili-waislamu-car