Viongozi na mashirika mbalimbali ya kidini na kijamii nchini Kenya yamekemea mauaji na kuvunjiwa heshima Masjid Musa mjini Mombasa Kenya na kulitaka jeshi la polisi kuwaomba radhi Waislamu hasa kutokana na maafisa hao wa polisi kuingia msikitini na viatu.
Ijapokuwa hali ya utulivu imerejea katika eneo la msikiti huo na maeneo ya karibu yake, lakini bado hali ni ya wasiwasi.
Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa na taarifa kamili. (irib) http://m1.ws.irib.ir/kiswahili/media/k2/audio/37940.mp3