Tunapenda kuwakaribisha Waislam na wasiokuwa
Waislam kuja kupata elimu juu ya matukio yaliyomkumba mjukuu wa Mtume
Mohammad (s.a.w.w), katika ardhi ya Karbala kwa ajili ya kupinga dhulma
juu ya Wanadamu. Masjid Al - Ghadiir, Kigogo Post, Dar es
Salaam,Tanzania.