Taarifa tulizozipata hivi punde ni kuwa Sheikh
Ponda Issa Ponda amepigwa risasi ya Bega Mkoani Morogoro na hivi sasa
yupo Hospitali kwa ajili ya matibabu,inasemekana kuwa Sheikh Ponda
alikuwa na Muhadhara katika Mkoa huo . Tutajulishana habari zaidi
zitakapotufikia juu ya tukio zima.