UKUMBUSHO KWA WAUMINI.

Tabligh inaitaji Uvumilivu na Busara, bila ya kuwa na Uvumilivu na Busara sizani kama tutafikia lengo kuu la kueneza Madhihabu ya Ahlul-Bayt (a.s). Mwenyezi Mungu (s.w) anasema katika Qur'an Tukufu: "Na mkirudi nyuma, (Mwenyezi Mungu) atabadilisha (alete) watu wengine wasiokuwa ninyi kisha hawatakuwa kama ninyi." 
(47:38)