Khadimu Mkuu wa Mahala patukufu (Makka na
Madina) ambaye ni Mfalme wa Saudia Arabia Abdullah bin Saudi ametoa
tamko rasmi kuunga mkono Majeshi ya Misri yanayoendelea kuuwa Wanachama
wa Chama cha Udugu wa Kiislamu (IKHWANUL MUSLIMIIN) na ametoa
wito nchi za Kiarabu kuunga mkono Wauaji. Hadi sasa zaidi ya Waislamu
2000 wameuawa na Majeshi ya Misri yanayoungwa mkono na Saudi Arabia.
Israel na Marekani. Saudi Arabia ni Mfadhili na msimamizi Mkuu wa
kikundi cha MAWAHHABI waojiita ANSWARU SUNNA, kikundi kinachohusika na
ghasia na uvunjifu wa Amani kote ulimwenguni.