JUMUIYYA NA TASISI ZA KIISLAM (T), WAFANYA KONGAMANO MWEMBE YANGA, TANDIKA.

Ummah wa Kiislam ukiwa katika kiwanja cha Mwembe Yanga, Tandika, kwa ajili ya Kongamano, lililoandaliwa na Jumuiyya na Taasisi za Kiislam (T).
 Waumini wa Kiislam wakiwa katika shangwe huku wakiwa wamenyanyua Bendera iliyoandikwa, Lā ilāhā illā-llāhu; muhammadun rasūlu-llāhi 
("Hakuna mungu ila Allah; Muhammad ni mtume wa Allah").