"Enyi mlioamini! kuweni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu kama alivyosema Issa bin Mariam kuwaambia wafuasi (wake): Ni nani wasaidizi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu? wafuasi wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu, basi taifa moja la wana wa Israeli walioamini, na taifa jingine wakakufuru, ndipo tukawasaidia wale walioamini juu ya maadui zao na wakawa wenye kushinda."
(Qur'an: 61:14).
Tunaitajia Dua zenu katika hili. IJUMAA KAREEM
(Qur'an: 61:14).
Tunaitajia Dua zenu katika hili. IJUMAA KAREEM