Maulana Sheikh Hemed Jalala,
akimjulia hali
Sheikh Abdillah Nasir, wiki iliyopita, Sheikh Abdillah Nasir amesema kwa
kweli amefarijika sana kwa kutembelewa na Masheikh wa Kishia tena ni
Waafrika, pia amewataka Masheikh hao kujiamini katika kazi zao za
kufikisha ujumbe wa Ahlul-Bayt (a.s), amemalizia kwa kuwashukuru sana
kwa moyo wao wa kwenda kumjulia hali. Kwa sasa anaendelea vizuri
anaitajia Dua zenu