Baadhi ya Waumini wa Kiislam
wakiwa katika
Soko kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya manunuzi ya
Futar, huku baadhi ya mitaa imeonekana biashara ya Maboga na Mihogo,
ikishamiri zaidi ndani ya mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan ukitofautisha na
kipindi cha nyuma.