MKONO WA RAMADHANI KAREEM KWA WAISLAM WOTE DUNIANI.
Mwezi
wa Ramadhan ni fursa iliyotolewa na Allah (s.w) kwa ajili ya waja wake
kujikurubisha karibu naye, kuomba msamaha kwa ajili ya dhambi zao, na
ukidhiwaji wa haja zao. Tunawatakia Waislam wote mkono wa Ramadhan
Kareem.