Bismillah Rahmanr Rahiim
"Basi tukaziba masikio yao katika pango kwa muda wa miaka mingi Mwenyezi Mungu anasema: Kisha tukawafufua ili tujue ni lipi katika makundi mawili litakalo hesabu sawa sawa muda waliokaa. Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli, hakika wao ni vijana walio mwamini Mola wao, nasi tukawazidishia katika muongozo. Na tukaziimarisha nyoyo zao waliposimama na wakasema: Mola wetu ni Mola wa mbingu na ardhi, kabisa hatutamuabudu Mungu mwingine badala yake, bila shaka tutakuwa tumesema ubaya uliopitiliza. Hawa watu wetu wamefanya waungu badala yake. Kwa nini hawaleti juu yao dalili bayana? Basi ni nani dhalimu mkubwa kuliko yule amzuliae Mwenyezi Mungu uwongo? Na mlipokuwa mmejitenga nao na vile wanavyoviabudu badala ya Mwenyezi Mungu, basi kimbilieni pangoni, Mola wenu atakufungulieni katika rehema zake na atakufanyieni wepesi katika mambo yenu.
Na unaliona jua linapopanda linapita mbali na pango lao upande wa kulia, na linapokucha linawakata upande wa kushoto, nao wamo katika uwazi wa pango. Hizo ni katika Ishara za Mwenyezi Mungu ambaye Mwenyezi Mungu anamuongoza, basi yeye ndiye aliyeongoka, na anayempoteza, basi hutampa mlinzi (wala) kiongozi (wa kumuongoza). Na unawadhani wako macho na hali wamelala, na tunawageuza upande wa kulia na upande wa kushoto. Na mbwa wao kanyoosha mikono yake kizingitini, kama ungewaona, lazima ugeuke kuwakimbia, na bila shaka ungejazwa na Khofu juu yao. Na kama hivyo tuliwafufua ili waulizane baina yao." Mwenyezi Mungu (s.w.t) anasema: "Ewe Nabii pigana na Makafiri na Wanafiki na uwe mgumu kwao, na makao yao ni Jahannam nayo ni marejeo mabaya." Qur'an: 66:9