Ustadhi Salim Mwalimu wa
Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo Post, Dar es Salaam, amepata ajali
siku ya Ijumaa na sasa yupo Hospital ya Taifa Muhimbili (SEWA HAJJI),
kwa ajili ya matibabu, Tusome Suratul Fatiha Mwenyezi Mungu amfanyie
wepesi kwa baraka za Imam Hujjah hili haweze kurejea katika majukumu
yake.