KIONGOZI WA SHIA ITHNA ASHARIYYAH, NIGERIA.

Kiongozi wa Shia Ithna Ashariyyah Nigeria, Sheikh Ibraheem El Zakzaky, anayetoa taswira bora na mfano wa kuigwa na Mashia wote wa Afrika kwa kufanikiwa kwake kuunganisha jamii ya Mashia nchini Nigeria.