“Basi yeyote atakayefuata muongozo wangu hatapotea wala hataaibika, na atakayepuuza mawaidha yangu, basi bila shaka atakuwa na maisha ya dhiki na siku ya Kiyama tutamfufua hali yakuwa ni kipofu, aseme: Ewe Mola wangu mbona umenifufua kipofu na hali nilikuwa nikiona? Mwenyezi Mungu atasema: Hivyo ndivyo, zilikujia Aya zetu ukazipuuza kadhalika leo unapuuzwa.” Qur’an: 20:123-126