HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), IMEPATWA NA UGENI KUTOKA INCHI YA JAMUHURI YA KIISLAAM YA IRAN.

Maulana Sheikh Hemed Jalala, 
Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), akiwa na mgeni kutoka katika inchi ya Iran, akiwa katika Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kuwasalimu vijana waliyopo katika Hawzat hiyo kwa ajili ya kupata elimu ya Dini sahihi aliyotuachia Mtume Muhammad (s.a.w.w).

Mgeni akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s),iliyopo Kigogo, Post, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya ukumbusho.