Bismillahir Rahmanir Rahim.
"Mnaona ajabu kukufikieni Mawaidha kutoka kwa Mola wenu kwa njia ya Mtu aliye mmoja wenu ili akuonyeni? Na kumbukeni alipowafanyeni Makhalifa baada ya watu wa Nuhu na amewazidishieni nguvu katika umbo, basi mzikumbuke, neema za Mwenyezi Mungu ili mpate kufaulu." Qur'an: 7:69
IJUMAA KAREEM