SHEREHE YA MAULID YA KUZALIWA MTUKUFU MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W), ILIYOFANYIKA MASJID GHADIIR, KIGOGO POST, JIJINI DAR ES SALAAM, TANZANIA.

 Waumini wa Kiislam 
wakiwasili katika Sherehe ya Maulid ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), Masjid Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.
 Msemaji mkuu wa Harakati za 
Madhihabu ya Ahlul-bayt (a.s), zinazoendeshwa chini ya Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s),Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, Sheikh Muhammad Abdu, akiwakaribisha waumini wa Kiislam wa Madhihabu mbalimbali katika Sherehe ya Maulid ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). 
 Waumini wa Kiislam
 wakiwa katika Maulid ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), Masjid Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es Salaam, katika Maulid hayo waliudhuria watu mbalimbali mmoja wapo Balozi wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran.
 Balozi wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran
, akitoa salamu zake katika sherehe ya Maulid, ya kuzaliwa kwa Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w),iliyofanyika Masjid Ghadiir, Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.
 Maulana Sheikh Hemed Jalala
, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), akizungumza na baadhi ya Wanaharakati wa Kiislam baada ya kumalizika Sherehe ya Maulid iliyofanyika Masjid Ghadiir Kigogo Post, jijini Dar es Salaam.