SHEREHE YA NDOA IMEFANYIKA MASJID SWALIHINA KINONDONI, JIJINI DAR ES SALAAM.

Sheikh Mzee Muhammed, 
Mwanahakati wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo Post, (kulia) akisubiri kufunga Ndoa katika Msikiti iliyopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Sheikh Ridhwaan Pingiri, 
akifungisha Ndoa, baada ya Swala ya Ijumaa, iliyoswaliwa Masjid Swalihina Block 41, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
 Sheikh Ridhwaan Pingiri, akimsahinisha bwana harusi baada ya kufungisha Ndoa.
 Maulana Sheikh Hemed Jalala, 
Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo Post, Dar es Salaam, akiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika Sherehe ya Ndoa, iliyofungwa Masjid Swalihina Kinondoni, jijini Dar es Salaam