MWALIKO:

Bismillahir Rahmanir Rahim.

Asalaam Aleykum,

TUNAKUKARIBISHA:
 

Kuhudhuri katika Hafla ya Sifa Dhahiri za Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w).

MFULULIZO WA SEMINA ZA KUJENGA UTUKUFU.

Wap: University of Dar es Salaam - Theata (Nyuma ya Nkuruma Hall)

Lini: Jumapili, 24 Februari, 2013

Wakati: Saa 2:45 Asubuhi hadi Saa 6:00 Mchana.

Kuhusu: Mjadala juu ya Mada za uchochezi zihusuzo dini na maisha na kukifuatiwa na uzinduzi wa Nasheed za Kiswahili za kundi la Mahdawi

Watoa mada:

1- Maulana Sheikh Hemed Jalala, Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), Kigogo Post.

2- Sayyed ARIF RIZVI

3- MOHAMED SAID

Kwa maelezo zaidi piga namba: +255 786 750 004. Fikisha ujumbe kwa mwengine Mwenyezi Mungu atakulipa Kheri hapa duniani na kesho Akhera.