MCHANGO KWA AJILI YA MABORESHO YA HARAKATI ZETU ZA MTANDAO.

Asalaam Aleykum, Changia afroshia kupia namba zifuatazo: M-Pesa - 0755- 613 309, Tigo Pesa - 0655- 613 309, Airtel Money - 0786- 613 309. Changia kwa ajili ya maboresho ya mtandao wetu hili tuweze kusonga mbele zaidi katika uwanja wa Tabligh. Imam Ali bin Abi Talib (a.s) amesema: "Atakayefanya utawala wake ni kutoa huduma kwa ajili ya dini yake basi kila kitu kitamnyookea."