Makamu
wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akitoa salamu zake za mkesha wa sherehe za Maulid, ya kuzaliwa kwa
Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), wakati wa sherehe hizo zilizofanyika
kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Ummah wa Kiislam
ukiwa katika Viwanja cha Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kusherekea mazizi ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w).
Wanawake
wa Kiislam
wakisherekea Mazazi ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w),
katika Viwanja cha Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran
(wapili
kutoka kulia), akiwa katika Sherehe ya Maulid ya Mtukufu Mtume Muhammad
(s.a.w.w), iliyofanyika Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.