Bismillahir Rahmanir Rahim.
Uongozi wa kamati ya tabligh unapenda kuwaharika Waislam wote katika mtembezi ya kuikumbuka siku aliyofariki Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w), yatakayofanyika siku ya J.mosi ya tarehe 12 - 01 - 2013 kuanzia Round about Kigogo hadi Masjid Ghadiir Khum, Kigogo post, jijini Dar es Salaam, Fikisha ujumbe huu kwa Waislam wote, ingawa tukio la kufariki Bwana Mtume (s.a.w.w) mbele ya jamii ni jambo geni sana, kana kwamba katika historia ya ulimwengu tukio hili halikutokea. Ingawa tukio la kuzaliwa kwa Mtume (s.a.w.w) limepokewa kwa nafsi kubwa. Kwa hiyo unaweza kuona hafla mbalimbali za kusherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa Mtukufu Mtume Muhammad(s.a.w.w) zikifanywa Madrasani, Misikitini, Majumbani, na katika Mazawia mbalimbali. Hili ni jambo jema sana, Swali liliopo hapa ni, je, huyu afanyiwae haya yu hai mpaka sasa? Au amekwisha kufa? Ni kwamba, Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) amekwisha kufa. Sasa, tarehe aliyofariki Mtukufu Mtume (s.a.w.w), Je, Waislam wanaichukuliaje.? Inafaa ikumbukwe tarehe hiyo ambayo Mtukufu Mtume (s.a.w.w) ndiyo amefariki dunia, au haifai kuikumbuka?! ilikuwaje! Wanachuoni wa Kiislam na Masheikh wa Twariqa katika tarehe zao za kufariki hukumbukwa kwa visomo mbalimbali. Hili ni jambo jema isipokuwa tarehe ya kufariki Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w).!! Hakika sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.