Mwenyezi Mungu anasema:
"Na wanaposomewa Aya
zetu zilizowazi, utaona chuki juu ya nyuso za wale waliokufuru,
wanakaribia kuwashambulia wale wanao wasomea Aya zetu. Sema: je,
nikuambieni yaliyo mabaya zaidi kuliko hayo? Ni Moto, Mwenyezi Mungu
aliwaahidia wale waliokufuru, na ni marudio mabaya yaliyoje!" (Qur'an:
22:72)