WITO KWA WAFUASI WA AHLUL - BAYT (A.S).

 Ndugu zangu wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s),
 Msikiti huu muhimu sana kuutembelea mara kwa mara hili kuleta muhamko wa Madhebu ya Ahlul-Bayt (a.s) katika maeneo ya Ikwiriri - Rufiji.