TANGAZO.

Bismillahir Rahmanir Rahim.

Aaw, Uongozi wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s),
Kigogo post, Dar es Salaam, tunapenda kuwatangazia nafasi za Masomo ya DINI kwa upande wa Wanawake, kwa mawasiliano zaidi piga namba: 0655 740 503, 0755 936 545, fikisha ujumbe kwa wengine Mwenyezi Mungu atakulipa Kheri.

 Tunapenda kukukaribisha katika Darasa la UJUE USHIA leo J.mosi ya tarehe: 22-12-2012, litakalofanyika Ilala Sharif Shamba, Muhadhiri atakuwa Maulana Sheikh Hemed Jalala, Muda utakuwa Saa 10:00 jioni mpaka Saa 12:30 jioni, Maswali na Majibu yatapewa kipaumbele zaidi.