BISMILLAHIR RAHMANIR RAHIM.

Asalaam Aleykum, Jamani tunahitajia Dua zenu tupo katika vita kubwa katika Harakati zetu za Tabligh. Mwenyezi Mungu (s.w.t) anasema: "Wanataka kuzima Nuru ya Mwenyezi Mungu kwa Vinywa vyao, na Mwenyezi Mungu atakamilisha Nuru yake ingawa Makafiri watachukia." (Qur'an: 61:8)