KATIBU MKUU WA HARAKATI ZA TABLIGH SHEIKH MUHAMMAD ABDU ALIPOKUWA INCHINI IRAN.
Katibu
mkuu wa Harakati za Tabligh Jijini Dar es Salaam, Tanzania, Sheikh Mohammad Abdu
(kushoto), akiwa na Kiongozi wa Mashia wa Nigeria Maulana Ibrahim Zakyzakywakiwa katika picha ya pamoja inchini Iran.