MWALIKO WA MATEMBEZI YA ASHURA.

Bismillahir Rahmanir Rahim.

Aaw, Mnakaribishwa katika Matembezi ya ASHURA, Kulaani mauwaji aliyofanyiwa Imam HUSSEIN (A.S), Mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), na kupinga dhuluma wanayofanyiwa Waislamu duniani, yatakayofanyika siku ya J.pili ya Tarehe 25-11-2012, Saa 2:00 Asubuh, yataanzia ROUND ABOUT KIGOGO, hadi Masjid Ghadiir Khum, Kigogo post, Jijini Dar es Salaam. Fikisha ujumbe huu kwa Waislam wote, Mwenyezi Mungu atakulipa Kheri duniani na kesho Akhera.