MAOMBLEZO YA KIFO CHA IMAM HUSSEIN (A.S), MJUKUU WA BWANA MTUME (S.A.W.W), YAMEFANYIKA NYUMBANI KWA BALOZI WA JAMUHURI YA KIISLAM YA IRAN, JIJINI DAR ES SALAAM.


Waislam wa Madhihabu ya Ahlul-Bayt (a.s), wakisikiliza historia ya Imam Hussein (a.s), iliyotolewa na Sayyed Shahid, nyumbani kwa Balozi wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, jijini Dar es Salaam.

 Waumini wakiwa katika Ubalozi wa Iran, siku ya J.mossi kwa ajili ya kuyakumbuka matukio ya Karbala, yaliyomkumba Imam Hussein (a.s), nyumbani kwa Balozi wa Jamuhuri ya Kiislam ya Iran, jijini Dar es Salaam.