Muumini Wakiislam
aliyezungushiwa duara
jekundu katika mkono akitamka Shahada, ukuakisema nipo tayali kufa kwa
ajili ya kuinusuru dini ya Mwenyezi Mungu, baada ya kukamatwa na Askari
wa Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU), pia Jeshi la Wananchi wa Tanzania
(JWTZ), naloalikuwa nyuma katika kuimarisha ulinzi na Usalama wa raia,
katika Maandamano yaliyokusudiwa kufanyika baada ya Swala ya Ijumaa,
Jijini Dar es Salaam.