MUDIR WA HAWZAT AL-IMAM SWAADIQ (A.S), KIGOGO POST, DAR ES SALAAM, TANZANIA.
Maulana Sheikh Hemed Jalala,
Mudir wa Hawzat Al-Imam Swaadiq (a.s), iliyopo Kigogo post, Jijini Dar es Salaam, amesema kuwa Waislam wasitosheke na Uislam wakuzaliwa,
bali wausome Uislam.