Waumini wa dini ya Kiislamu inchini Tanzania, walaani vikali juu ya Flamu iliyotolewa ya kumdhalilisha Mtume Mohammad (s.a.w.w), Siku ya Ijumaa katika kiwanja cha Kidongo Chekundu Jijini Dar es Salaam.
Wakinamama Wakiislam nao hawakuwa nyuma katika kiwanja cha Kidogo Chendu, jijini Dar es Salaam.