Sheikh
Waziri O. Nyello
aliyekuwa Mwenyekiti wa Tanzania Ithna Ashariyyah Community (T.I.C), amesema kuwa harakati za Sheikh Hemed Jalala za kutangaza Madhihabu ya Ushia zimeleta mwamko wa Ushia Tanzania, ususani sehemu za Vijijini, ukitofautisha na kipindi cha nyuma, pia amesisitiza kuwa vijana ndio chachu ya mabariko ya aina yeyote hivyo wanatakiwa kumuunga mkono Sheikh Hemed Jalala, hili haweze kufanya kazi zaidi ya kufikisha ujumbe wa Madhihabu ya Ahlul-Bayt (a.s), mwisho amemalizia kwa kusema yeye sasa ana nguvu ya kufanya harakati za aina yeyote, kutokana na hali yake kiafya hivyo anaitajia DUA zenu zaidi.