WAISLAM WAFUNGA BARABARA, JIJINI DAR ES SALAAM, KWA MAANDAMANO MAKUBWA.
Umma wa Kiislamu
kutoka sehemu mbalimbali jijini Dar es Salaam, wakiwa katika Maandamano ya kuelekea Ofisi ya Wizara ya mambo ya ndani ili kupata ufumbuzi juu ya kukamatwa kwa Waislamu waliogomea Sensa ya watu na makazi.