Bismillahir Rahmanir Rahim.
Aaw, Mnakaribishwa katika darasa la UJUE USHIA,
litakuwa kila J.mossi, Saa 9:30 jioni, mahala Ilala
Sharif Shamba, shuka Bungoni au Amana, njoo uulize maswali kwa Mashia
wenyewe usisikilize propaganda za Mawahabi, Muhadhir hatakuwa Maulana
Sheikh Hemed Jalala. Kwa mawasiliano zaidi piga namba: +255-655 740 503/
+255 786 750 004. Wajulishe Waislam wengine Inshallah
"Waiteni kwa (ubini wa) baba zao,
maana huo ndio uadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu. Na kama hamuwajui baba zao, basi ni ndugu zenu katika dini na rafiki zenu. Wala si lawama juu yenu katika hayo mliyokosa, isipokuwa katika yale ziliyofanya nyoyo zenu kwa kusudi, na Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa Kusamehe, Mwenye kurehemu."
(Qur’an: 33:5)